Search

105 results for Christina Joseph :

  1. Video za ukatili zafanya Lebron afute urafiki na Diddy

    Mcheza mpira wa kikapu wa NBA Lebron James amefuta urafiki na Diddy kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram baada ya video za hizi karibuni kusambaa zikimuonyesha msanii huyo akimpiga aliyewahi...

  2. Bongo Movie ilivyowapa kisogo mamisi

    Tangu kuanzishwa kwa mashindano ya kusaka warembo, Miss Tanzania mwaka 1967 tayari imepita miaka 57, huku taji hilo likiwa limevaliwa na warembo 30 hadi kufikia mwaka 2023, ambapo lilichukuliwa...

  3. Neno ‘Hakuna Matata’ laendelea kutikisa kwenye sanaa

    Neno la Kiswahili Hakuna Matata, linaendelea kutikisa kwenye nyimbo za wasanii kutoka Marekani baada ya mwanamuziki Gunna kutoka nchini humo kuachia wimbo unaoitwa Hakuna Matata, siku tano...

  4. Duma afichua sababu ya waigizaji kupotea

    Mwigizaji Daud Michael maarufu kama Duma Actor, amesema kati ya sababu inayosababisha baadhi ya wasanii wapya kwenye soko la sanaa ya maigizo kutambulika kwa muda mfupi kisha kupotea kwenye...

  5. Mwasiti ajitoa muhanga kuwaepusha wasanii na rushwa ya ngono

    Wakati baadhi ya wasanii wa kike wakidai kukutana na changamoto za rushwa ya ngono katika harakati za kujitafuta kimuziki, mwanamuziki wa Bongo Fleva, Mwasiti Almas ameamua kuwavuta mabinti wenye...

  6. Rose Ndauka mwanadada mwenye kofia tatu za heshimu

    Naweza kumlinganisha mwanadada Rose Ndauka na jiwe moja linalopiga ndege watatu, hii ni kutokana na mwigizaji huyu kuzama katika tasnia tatu tofauti kwa ajili ya kujipatia kipato. Utakumbuka Rose...

  7. Diamond, Ziiki hapatoshi, wadau washauri

    Hali haikuwa shwari katika kiwanda cha burudani, leo Ijumaa Aprili 19, 2024 baada ya msanii Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz kuituhumu kampuni ya usambazaji muziki ya Ziiki kuzuia utolewaji...

  8. Diamond aitolea uvivu Ziiki Media

    Kwa mara nyingine tena Kampuni ya Usambazaji Muziki ya Ziiki Media, inaingia kwenye mgogoro na msanii wa Bongo Fleva, Diamond ambaye ametoa tuhuma dhidi yao akidai kuwa kampuni hiyo imezuia wimbo...

  9. Kajala akubali yaishe, aomba radhi kwa mzazi mwenziye Majani 

    Mwigizaji Kajala Masanja amemuomba radhi mzazi mwenziye Paul Matthysse maarufu kwa jina la 'P Funk Majani' kutokana na migogoro waliyokuwa wakipitia kwa muda mrefu.

  10. PRIME Ni mnyukano wa Sugu, Msigwa Chadema

    Mtifuano wa uchaguzi wa kanda nne umeanza rasmi, mchuano mkali Msigwa na Sugu.

Page 1 of 11

Next